Miley Cyrus has planted another kiss on a girl. The singer locked lips with Brooke Candy in celebration of Brooke getting signed to Miley’s label. Miley posted the photo with a caption that said, “Regram @BR00KECANDY AYYY KAYY AYYY my new label sista! Welcome to @RCA bishhhy! Happy 2 have you apart of da fam bam!” Brooke replied and said, “YUM.
Friday, February 28, 2014
Miley Cyrus Kisses Another Girl
Miley Cyrus has planted another kiss on a girl. The singer locked lips with Brooke Candy in celebration of Brooke getting signed to Miley’s label. Miley posted the photo with a caption that said, “Regram @BR00KECANDY AYYY KAYY AYYY my new label sista! Welcome to @RCA bishhhy! Happy 2 have you apart of da fam bam!” Brooke replied and said, “YUM.
Robin Thicke Gushes On Stage ... I'm Lost Without Paula

Robin Thicke got back to performing tonight and wasted no time using the stage to beg for Paula Patton's mercy ... opening up to the crowd about the break-up and dedicating a song to her.
Thicke wore his wedding ring through the show in Fairfax, VA and told the crowd -- "For y'all that don't know me and my wife separated, but I'm trying to get my girl back. She's a good woman."
He also told fans he'd written the song "Lost Without U" for Paula ... before launching into the hit -- which we gotta say is kinda the perfect song for a guy trying to get back on a chick's good side.
Then again, Paula's heard this tune a hundred times.
Wolper:Ally Kiba ndiye alinitambulisha kwenye Ulimwengu Mtamu wa Mapenzi

Akiongea na Global Publishers,muingizaji huyo alisema aliachana na Ally Kiba kwasababu ya wanawake wengi walikuwa wakimtamani kimapenzi.
' “Ni kitambo kidogo. Wote hatukuwa mastaa lakini yeye alifanikiwa kuchomoka. Kabla ya Ali (Kiba) nilikuwa na mwanaume lakini hatukuduu kwa maana ya utu uzima, ilikuwa yale ya kitoto. Lakini Ali ndiye hasa aliyeniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi'Alisema Wolper
“Ali akawa staa. Alipokwenda nje nikasikia wanawake wanamshobokea. Sasa mimi sikutaka karaha nikakaa pembeni lakini jamaa ni mtu poa sana na tukikutana tunasalimiana freshi kabisa.”alisema Wolper
Vipi kuhusu Jux?
“Jux (msanii wa Bongo Fleva, Juma Khalid) nilikuwa naye kabla ya Dallas na yule
mwanaume wangu niliyeachana naye wakati wa Dallas. Katika maisha yangu nilimpenda sana Jux. Siyo marioo ni mwanaume mtafutaji aliyejiamini. Kwa sasa sipo naye. Dallas pia alichangia mimi kuachana na Jux,”alisema.
“Ni kweli niliwahi kuwa na Diamond (msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul). Tulikuwa na uhusiano lakini pia alikuwa mshirika wa kibiashara (hataki kuitaja). Yeye alikuwa hawezi kulala bila kuniona, lakini tulikaa kama mwezi mmoja, kwa sasa amebaki kuwa rafiki yangu na siyo mpenzi tena kama zamani,” alisema Wolper.
Mcheki Nikki Minaj akiwa hana make up wala wigi
Nikki Minaj aamua kuonyesha uhalisia wa uzuri wake kupitia picha zake za instagram
akiwa hana make up, wigi wala nguo zake tunazomuona nazo kila wakati
katika picha zake. Nikki anaonekana akiwa na nguo za kawaida kabisa
zinzomfanya aonekane mzuri hatari, ngozi nyororo isiyo na make up kama
tulivyomzoea..
angalia picha zaidi
nywele zake halisia
HUU NDIO USHAHIDI WA SAMAKI MTU AU NGUVA ALIYEONEKANA HUKO ISRAEL. JIONEE MWENYEWE HAPA
Hivi majuzi huko Kiryat Ya,Israel baada
ya watalii waliokuwa pembezeno mwa bahari hiyo kumuona nguva(SAMAKIMTU)
akiwa juu ya mawe. Kutokana na habari hizi kuenea watalii wengi wamekuwa
wakimiminika huko Israel wakiamini labda nawao watamuo.
Thursday, February 27, 2014
MABOSI WA MANCHESTER UNITED WAMPA DAVID MOYES MECHI 12 TU! ZITAKAZO AMUA HATIMA YAKE KWENYE KLABU

Kocha wa sasa wa Manchester United David Moyes amepewa mechi 12 tu! kudhihirisha ubora wake ili uweze kumsaidia kubaki katika klabu hiyo ya nchini Uingereza..Kauli hiyo ya Mabosi hao wa United imekuja baada ya mienendo mibaya ya klabu hiyo kufuatia kutolewa katika michuano ya FA, pamoja na kuambulia kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Olympiacos pyreus.
Tuesday, February 25, 2014
MWIGULU NCHEMBA: ANAYEONA POSHO YA BUNGE LA KATIBA HAITOSHI AFUNGASHE VIRAGO VYAKE

Wizara ya Fedha imepigilia msumari maombi ya wajumbe wa Bunge
Maalumu la Katiba ya kutaka waongezewe posho na kusema anayeona ameacha
kazi inayomlipa zaidi kwenda bungeni afungashe virago na kuondoka.
Msimamo huo umekuja siku moja tu baada ya gazeti hili kudokeza kuwa madai ya wajumbe wa bunge hilo kutaka waongezewe posho kutoka Sh300,000 za sasa kwa siku, yamegonga mwamba baada ya kamati iliyoteuliwa kuchunguza uhalali wake kusema kiwango hicho kinatosha.
Mwenyekiti wa muda wa bunge hilo, Pandu Kificho alisema jana bila kutaja viwango, kuwa ripoti ya kamati hiyo imewasilishwa kwa Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi.
Madai ya wajumbe kutaka waongezewe posho, yamechafua hali ya hewa ndani na nje ya Bunge, huku baadhi ya wananchi wakipaza sauti zao na kumsihi Rais Kikwete alivunje bunge hilo iwapo wajumbe watashikilia msimamo wa kutaka nyongeza ya posho.
Jana, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema wanaoshiriki kutunga Katiba ni Watanzania na siyo wataalamu washauri waliokodiwa kutoka nje.
Alisema kwa msingi huo, Serikali ilitarajia kuwaona watu hao wakitanguliza uzalendo zaidi badala ya kudai malipo manono.
“Katika kutengeneza Katiba hii, hatujakodi consultants (wataalamu washauri) kutoka Uingereza, Marekani, Kenya, Uganda wala nchi nyingine yoyote… Hawa ni Watanzania na kazi wanayoifanya ni yao,” alisema.
“Wangekuwa wataalamu wa kukodi wangeweza kudai malipo hayo, lakini hapa ni tofauti... wanafanya kazi yao na kila mtu anafanya kazi yake na anapaswa kujivunia kushiriki katika tendo hili la kihistoria kwa kutanguliza uzalendo,” alisema.
Nchemba alisema anazielewa hoja za baadhi ya wajumbe walioibua suala la posho, lakini kwa mtazamo wake, hoja hiyo hata kama ingekuwa na mashiko kiasi gani, imewasilishwa wakati usiokuwa mwafaka. Alisema wapo makandarasi na wazabuni waliotoa huduma kwenye taasisi mbalimbali za umma lakini hawajalipwa.
Alisema kwa kawaida, Februari ni mwezi mbaya kwa kuwa baadhi ya wilaya zina historia ya kukumbwa na uhaba wa chakula hivyo kuhitaji fedha nyingi za Serikali ili kuokoa maisha ya watu katika maeneo hayo.
Pia alisema si wakati mwafaka wa kudai nyongeza hiyo hasa ikizingatiwa kuwa kuna walimu wapya 30,000 nchini kote ambao hawajapangiwa vituo kutokana na kukosekana kwa fedha za kulipa stahiki zao.
Nchemba alisema mbali na walimu hao wapya kutokupangiwa vituo, walimu wengine wanadai malimbikizo ya fedha zao na kwamba hawajalipwa kutokana na ufinyu wa bajeti serikalini.
“Siku zote ukweli unauma. Nasema kama kuna mjumbe ambaye anaona huko alikokuwa kabla ya kuteuliwa alikuwa anapata pesa zaidi kuliko hii, basi kwa heshima afungashe virago na kuondoka,” alisema.

HUYU NDIYE MZUNGU ALIYEKAMATWA NA KILO 5 ZA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE DAR-ES-SALAAM

Raia
wa Henellic, Alexamdrios Atanasios, amekamatwa maafisa wa usalama wa
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Jumapili usiku Februari 24, 2014, akiwa na kilo tano za madawa ya
kulevya.
Habari zinasema mzungu huyo alikamatwa wakati wa upekuzi, akijiandaa kupanda ndege ya Swiss air kueleke jijini Zurich, Uswisi.
Madawa hayo yalikutwa yakiwa yamefichwa kwenye “sakafu” ya begi lake baada ya mitambo ya kisasasa yaupekuzi, kugundua kuwa kulikuwa na ‘mzigo’.
Habari
zinasema, kwa sasa mtuhumiwa anashikiliwa kwenye kituo cha polisi cha
uwanjani hapo akisubiri taratibu za kisheria ili afunguliwe mashtaka.
HAYA NDIO MANENO MATAMU YA KIMAHABA YATAKAYOMFANYA MPENZI WAKO AWE NA HAMU YA KUFANYA MAPENZI
Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "ny#ge"kabla ya kuanza kufanya map3nzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi!

Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my l0ve" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa nafasi yake.......! Na kila mmoja akawa na hamu ya map#nzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu! Yanahusika saaana!
PICHA ZA UCHI ZA RAFIKI YAKE WEMA SEPETU ZAZIDI KUSAMBAA MITANDAONI KWA KASI YA AJABU, BOFYA HAPA UZIONE!

Rafiki kipenzi wa Wema
Sepetu mwanadada Naima ambaye ndiyo anamiliki mpenzi wa zamani wa shosti
yake anayejulikana kwa jina la Clement ambaye ni kigogo na pedeshee wa
mjin hapa, hivi karibuni aliachia picha mtandaoni akiwa mtupu na kufanya
watu washikwe na msha ngao na kumshangaa dada huyu.
Friday, February 21, 2014
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 YAMETOKA!!!
Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2013 yametangazwa na kiwango cha kufaulu cha ongezeka toka asilimia 45.8% mwaka 2012 mpaka 56.7% mwaka huu huku somo la kiswahili likiongoza kwa kufaulisha wanafunzi weng lakin somo la hisabati limeleta matokeo mabovu.....Best of luck 4 IV wenzang!!!!

“Happy” climbs the million mark.
Feb 20, 2014
Pharrell has every reason to be happy right now. His smash hit, “Happy”
has sold over a million copies, making it the star’s first platinum
single as a lead artist. The song, which has been nominated for an
Oscar, is also number one on the Billboard Digital Songs chart this
week.
Copyright : MTV Base

Is Miley dating Jared Leto?

Feb 20, 2014
Source: Ahmedy Membes
After splitting from her fiancé last year, Miley has been romantically
linked to a number of artists. The latest rumour is that the “Adore You”
singer is now dating 42-year-old actor, Jared Leto. The two are
reportedly “hooking up” and having sleepovers at the Leto’s LA house.
Copyright : MTV Base
SAMSUNG GALAXY S5 KUTOKA JANUARY 2014..ICHEKI HAPA

Smartphone ya Samsung Galaxy S5 inaweza kutoka mapema kuliko ilivyotegemewa.
Kutokana
na mtandao wa kikorea wa Naver, ambao unaendeshwa na wafanyakazi wa
zamani wa Samsung, kampuni ya Samsung imepanga kutoa Samsung Galaxy S5
mnamo January kama sehemu ya mpango wao wa kupunguza mauzo ya model yao
ya sasa.
Ripoti
inaonyesha kwamba Samsung Galaxy S5chini ya mwaka mmoja baada ya
mtangulizi wake, Galaxy S4, ilivyotolewa mnamo mwezi Machi mwaka huu.
S5 inaweza kuzinduliwa 2014 kwenye International Consumer Electronics Show (CES) mwezi wa kwanza, taarifa hiyo imesema.
Navel wamesema S5 itakuwa na camera yenye 16-megapixel za camera na processor ya Samsung Exynos.
JE Features zipi ungepeda kuziona kwenye Samsung Galaxy S5? Comment hapa chini!
VAZI HILI LA DIAMOND LASABABISHA VIDEO YA MSANII DULLY SYKES KUFUNGIWA
jana
Prince Dully Sykes akiongelea kufungiwa kwa video yake ya kabinti
special na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) . Kuna sababu kuu mbili
zilizosababisha video hii kufungiwa na ya kwanza ni kitendo cha msanii
Diamond Platnumz kuvaa T-shirt iliyoandikwa neno ambalo ni tusi . Hii
ingekua kwa nchi za mbele basi ungekutwa t-shirt hii wanaifanyia kitu
kinaitwa “blurring” yaani wanayafanya maneno yasisomeke lakini wabongo
wakaona isiwe tabu na director akaamua kuacha video irushwe ikiwa katika
hali hii.
Sababu ya pili ni vazi la ufukwe yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.
Je, Unadhani ni haki video hii kufungiwa na kama ni haki je unafikiri ifungiwe ni kwasababu ipi ya msingi?
Source: MWEUSICLASSIC.COM
HAWA NDIO WANACHAMA WA FREEMASON TANZANIA...!HABARI KAMILI HAPA.....
Tanzania ina wanachama hai zaidi ya 600
wa kundi la watu wenye imani ya siri ya Freemasons wakiwa wanatokana na
watu wa kada mbalimbali wakiwemo maarufu, huku ikielezwa kwamba
miongoni mwao hakuna viongozi wakuu wa serikali.

Alisema nchini kuna wanachama zaidi ya 600 wakiwemo wafanyabiashara, watumishi serikalini, walimu pamoja na wanataaluma mbalimbali wanaoheshimika sana na kusisitiza kuwa kuna maneno mengi yanayosemwa kuhusu kundi hilo, ambayo siyo ya kweli.
Alisema idadi ya wanachama wake duniani inazidi kupungua kutoka milioni nane hadi sasa wako milioni sita, tofauti na wengi wanaodhani kuwa idadi hiyo inaongezeka.
Chande alizungumza na mwandishi wa habari hizi katika Shule ya Sekondari ya Shaaban Robert ambako yeye ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule alipozungumzia maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.
Alisema duniani kuna watu wazito
wengi ambao ni wanachama wa kundi hilo kama majaji wakubwa na hata
Binamu wa Malkia Elizabeth wa Uingereza ni kiongozi mkubwa wa kundi
hilo.
Akizungumzia masharti ya kujiunga
na kundi hilo, Chande alisema ni lazima mwanachama huyo awe anaamini
katika Mungu bila kubagua iwapo ni Mkristo au Muislamu.
Alisema pia ni lazima anayetaka
kujiunga awe na umri unaozidi miaka 21 na walio chini ya umri huo
hawaruhusiwi kujiunga na lazima familia ya anayetaka kujiunga na
wanandugu wafahamu kuwa umejiunga na kundi hilo.
Subscribe to:
Posts (Atom)