SAMSUNG GALAXY S5 KUTOKA JANUARY 2014..ICHEKI HAPA

Smartphone ya Samsung Galaxy S5 inaweza kutoka mapema kuliko ilivyotegemewa.
Kutokana
na mtandao wa kikorea wa Naver, ambao unaendeshwa na wafanyakazi wa
zamani wa Samsung, kampuni ya Samsung imepanga kutoa Samsung Galaxy S5
mnamo January kama sehemu ya mpango wao wa kupunguza mauzo ya model yao
ya sasa.
Ripoti
inaonyesha kwamba Samsung Galaxy S5chini ya mwaka mmoja baada ya
mtangulizi wake, Galaxy S4, ilivyotolewa mnamo mwezi Machi mwaka huu.
S5 inaweza kuzinduliwa 2014 kwenye International Consumer Electronics Show (CES) mwezi wa kwanza, taarifa hiyo imesema.
Navel wamesema S5 itakuwa na camera yenye 16-megapixel za camera na processor ya Samsung Exynos.
JE Features zipi ungepeda kuziona kwenye Samsung Galaxy S5? Comment hapa chini!
No comments:
Post a Comment