Thursday, February 27, 2014

MABOSI WA MANCHESTER UNITED WAMPA DAVID MOYES MECHI 12 TU! ZITAKAZO AMUA HATIMA YAKE KWENYE KLABU

 http://cdn3.whatculture.com/wp-content/uploads/2014/01/david-moyes-man-utd.jpg
Kocha wa sasa wa Manchester United David Moyes amepewa mechi 12 tu! kudhihirisha ubora wake ili uweze kumsaidia kubaki katika klabu hiyo ya nchini Uingereza..Kauli hiyo ya Mabosi hao wa United imekuja baada ya mienendo mibaya ya klabu hiyo kufuatia kutolewa katika michuano ya FA, pamoja na kuambulia kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Olympiacos pyreus.

No comments:

Post a Comment