Wengi huwa wanajiuliza natumiaje whatsapp, tango na app zngne wakati simu yangu ni ya toch(nokia 1202-2)...Jibu la swali lao ni hii program inayoitwa YOUWAVE....cha kufanya ni 1. Tembelea tovuti yao ya http://youwave.com/download then download na utatumia bila tatizo lolote
No comments:
Post a Comment